Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.

Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?

Ni nini!???
Kenya waliitwa watu waliolala, Ugana wagonjwa, Tanzania maiti. Ukitafakari kuna ka ukweli
 
Ikifika siku mtu ambaye aliyekuwa anakula wali nyama na kusaza amebakiwa na unga robo kwaajili ya familia nzima
Wabongo washawahi baadhi ya maeneo kudedi kwa njaa na Bado wali chill tu...🔥😄😀😀
 
Tulikula ugali wa mtama ulikuwa mweusi baada ya unga wa Yanga nao kuadimika 😀
Na Bado haikuwa shida. Mwalimu na Kawawa walishuhudia watu wakiwa wamevaa magunia badala ya nguo.

Yaani kaniki kwenye baadhi ya maeneo ilikuwa ndiyo vazi rasmi na nguo ya kutokea...🙄
 
Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.

Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?

Ni nini!???
Watanzania wa X,insta,jf, nk ndio wanafanyiwa ubaya sisi watanzania wapiga kura walaaa ni mwendo wa kidumu chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom