Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
You mean artificial?FAKE HUMAN BEING DO EXIST
Ugaidi zaidi ya aliofanyiwa Lissu??Ugaidi πΌ
Kama ule wa Rau Madukani πUgaidi zaidi ya aliofanyiwa Lissu??
Maskini Imran...Kama ule wa Rau Madukani π
Kenya waliitwa watu waliolala, Ugana wagonjwa, Tanzania maiti. Ukitafakari kuna ka ukweliKwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.
Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?
Ni nini!???
Maiti zinasubiri ufufuo.Kenya waliitwa watu waliolala, Ugana wagonjwa, Tanzania maiti. Ukitafakari kuna ka ukweli
Wabongo washawahi baadhi ya maeneo kudedi kwa njaa na Bado wali chill tu...π₯πππIkifika siku mtu ambaye aliyekuwa anakula wali nyama na kusaza amebakiwa na unga robo kwaajili ya familia nzima
Inabid iwe ya nchi kwa ujumlaWabongo washawahi baadhi ya maeneo kudedi kwa njaa na Bado wali chill tu...π₯πππ
1974, 1983-1984 muulize johnthebaptist njaa iliyokuwepo...Inabid iwe ya nchi kwa ujumla
Saw kiongozi...nilijiongeza tu1974, 1983-1984 muulize johnthebaptist njaa iliyokuwepo...
Walikuwa wanapita mitaani watu wanakufa njaa. Kilo Moja ya mchele kitumbo ilikuwa kama kilo Moja ya Almasi kwa thamani yake...
Tulikula ugali wa mtama ulikuwa mweusi baada ya unga wa Yanga nao kuadimika π1974, 1983-1984 muulize johnthebaptist njaa iliyokuwepo...
Walikuwa wanapita mitaani watu wanakufa njaa. Kilo Moja ya mchele kitumbo ilikuwa kama kilo Moja ya Almasi kwa thamani yake...
Na Bado haikuwa shida. Mwalimu na Kawawa walishuhudia watu wakiwa wamevaa magunia badala ya nguo.Tulikula ugali wa mtama ulikuwa mweusi baada ya unga wa Yanga nao kuadimika π
Watanzania wa X,insta,jf, nk ndio wanafanyiwa ubaya sisi watanzania wapiga kura walaaa ni mwendo wa kidumu chama cha mapinduziKwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.
Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?
Ni nini!???