Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Hao watu wa X ya Insta na JF wanaishi nchi jirani!??Watanzania wa X,insta,jf, nk ndio wanafanyiwa ubaya sisi watanzania wapiga kura walaaa ni mwendo wa kidumu chama cha mapinduzi
Watanzania wanatakiwa wachukie uovu dhidi ya wananchi (taifa), kukosekana kwa ukweli, haki na siyo chama cha siasa.Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.
Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?
Ni nini!???
Watu wa x ,inst wanaishi maisha ya kuigizaHao watu wa X ya Insta na JF wanaishi nchi jirani!??
You are being watched. The government has a secret system, a machine that spies on you every hour of every day. I know because I built it. I designed the machine to detect acts of terror but it sees everything. Violent crimes involving ordinary people, people like you. Crimes the government considered "irrelevant." They wouldn't act, so I decided I would. But I needed a partner, someone with the skills to intervene. Hunted by the authorities, we work in secret. You'll never find us, but victim or perpetrator, if your number's up... we'll find you.Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana.
Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI?
Ni nini!???
CCM imewekeza sn kwenye ushirikinaTulikula ugali wa mtama ulikuwa mweusi baada ya unga wa Yanga nao kuadimika 😀
Devil's agent on work.You are being watched. The government has a secret system, a machine that spies on you every hour of every day. I know because I built it. I designed the machine to detect acts of terror but it sees everything. Violent crimes involving ordinary people, people like you. Crimes the government considered "irrelevant." They wouldn't act, so I decided I would. But I needed a partner, someone with the skills to intervene. Hunted by the authorities, we work in secret. You'll never find us, but victim or perpetrator, if your number's up... we'll find you.
Walio lala huamka,wagonjwa hupona ,tatizo hao maiti sasa. Kweli aliye toa hilo neno aliwaza mbali sana,kama watu wanaweza kuushangilia msafara wa Rais wenye magari 120 unategemea niniKenya waliitwa watu waliolala, Ugana wagonjwa, Tanzania maiti. Ukitafakari kuna ka ukweli