Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

1. Penda kombi na masomo yako.

2. Epuka bifu na walimu au wanafunzi wenzako.

3. Pata usingizi wa kutosha.

4. Tumia muda wako vizuri acha upuuzi shuleni.

5. Soma sana.

6. Muombe Mungu.

7. Fanya discussion.

8. Always pambana ku cover topics mapema uwezavyo.

9. Baada ya ku cover topics mapema jitolee kufundisha wenzako muda mwingi kadri uwezavyo.

10. Fanya mazoezi.
Mawazo mazuri Sana kwa wanafunzi wa kileo.
 
Back
Top Bottom