Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hadithi ilikuwa maarufu sana. 😀😀😀😀😀Nmekumbuka ile story ya "Kawawa Funika kikombeeee"
😀 😀 😀 😀 😀 😀 dahNasikia kuna siku Nyerere na Moi walikuwa mkutano Ulaya sasa wakati wa kula walipewa vijiko vya dhahabu..!
Sasa bhana Nyerere akawa amepanga aibe walau kijiko kimoja wakati huo kumbe Mzee Moi naye akawa ameishapanga kuiba kijiko katika hali ya haraka akawa amewahi kuficha kijiko kwenye mfuko wa koti.
Wakati huo Nyerere alishamuona bila wazungu kujua, walipomaliza kula akawambia naomba niwafanyie mchezo muone utaalam wetu wa kiafrika wa mazingara/ombwe watu wakamakinika. Hapo Nyerere akaomba wamsogezee sahani iliyobeba vijiko vya dhahabu akachukua kijiko na kuwambia nitaficha kijiko mfukoni mwangu alafu mkisachi mzee Moi mtakikuta mfukoni mwake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwakuwa mzee Moi alikuwa ameiba akaona akijifanya kuongea ataumbuka hivyo akakausha mr. teacher akazamisha kijiko ile wanazama mfukoni mwa Moi kijiko hichoo[emoji23][emoji23]
Kajamaa kakatoka na kijiko mzee nasikia alikamaindi sana wakati wa kurudi kwenye ndege ila kakamuomba msamahaa jamaa akapotezea [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudadadeeeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kubabakee
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀Kwamba wakoloni wakimtafuta alikuwa anageuka kuwa mtoto mwenye vidonda vingi sana. Wakimuuliza anawaonyesha mbali, wanamuacha yeye. Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Gubika chkombechooNmekumbuka ile story ya "Kawawa Funika kikombeeee"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyerere hajawah kutamka hili neno,otherwise unawachokoza watu wengine tofautiTanzania ni donor country.