BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
Hivi ni baadhi ya vitu vilishawai kufanya nikajua kabisa hizi ni stress zinanisumbua, na wewe utaongeza ya kwako hapo chini kwenye comments:
1. Nilikuwa naongea na simu, mara ghafla nikaanza kujisachi kutafuta simu yangu nimeweka wapi huku nikidhani nishaibiwa. Nikakumbuka nipo nayo na muda huo naongea na mtu
2.Nilikuwa home nimepakua chakula ugali wangu safi na mboga nikasema ngoja niweke na maji ya kunywa pembeni hili nisisumbuke sana. Sasa nikawa nachukua ugali natoweza kwenye maji nakula huku akilini nikisema huyu mpishi mshenzi sana ndio msosi gani huu hauna radha. Hee kushituka sasa msosi ndio unaishia mboga nijaigusa.
3.Nilikuwa nimetoka geto naenda Town, ghafla nikakumbuka kuna kitu nimesahau, kurudi geto nikaanza kupambana kufungua mlango kama dakika 3 hivi. Heee nikakumbuka kumbe sijafungua na funguo ninazo mfukoni.
Hizi stress zitatuua kama wewe ni pisi kali mtoto wa buku mbili njoo PM tuchati, nipunguze stress.