Ni kitu gani ulifanya ukajua kabisa una stress

Ni kitu gani ulifanya ukajua kabisa una stress

Kutongoza mama wa miaka 50,dah! Nilipotuliza akili nilijizalausana siku hiyoo🤣🤣🤣
 
Nilikanyaga mafuta(accelerator) kwa nguvu na break kwa nguvu kwenye mteremko😂 kilichobaki hapo ni historia pembeni kulikuwa na nyumba
 
Nakumbuka nilikua naongea na simu.

Jamaa tukamaliza kuongea naye safi tu.
Baadae jamaa aka hang up on me,

Lakini simu ilibaki nimeshika kama nasikiliza ingali tayari,imekata

Baada ya ku realise hilo nilijicheka sana.
 
Back
Top Bottom