Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
For surePunguza bangi, hakuna stress hapo
Duh! Sasa wazazi wako walijisikiaje kuona mtoto wao hana adabu na anawatukana mpaka Baba na Mama mbele yaoNilimtukana baba na mama mbele ya wazazi wangu
Acha tu mkuu, Walinipiga mbele yanguDuh! Sasa wazazi wako walijisikiaje kuona mtoto wao hana adabu na anawatukana mpaka Baba na Mama mbele yao
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!Acha tu mkuu, Walinipiga mbele yangu
Nilikuw mbali mkuu, nlipigiwa tu simu kufika nakuta nimeshapigwa vibaya mnoHehehehehehehehehehehehehehehehe!!!
Kwa nini wewe hukumsaidia usipigwe
HeheheNilikuw mbali mkuu, nlipigiwa tu simu kufika nakuta nimeshapigwa vibaya mno
Anyway, nna stressHehehe
Unaonekana tu!!!Anyway, nna stress
Raha ya milele upewe na mwanga wa milele uangaziweNilikanyaga mafuta(accelerator) kwa nguvu na break kwa nguvu kwenye mteremkoš kilichobaki hapo ni historia pembeni kulikuwa na nyumba
šNiligonga ukuta nikapata wazo la kuitupa gari mtaroni safari ikaishia hapoRaha ya milele upewe na mwanga wa milele uangaziwe