Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Me mwaka 2007 nlijaribu kukosea njia( Kwa mpalange) kwa mdada wa kaz wa nyumban. Toka hapo had leo 2024 cjawah kuacha hko kitu. Nnatumia nguvu nyng kuacha lakn nnashindwa. Kila nkiona kinyesi moyo unashituka sana
Mpaka mkeo amezowea huo mchezo haramu.
Kumbuka ahera inakuita.
 
Kuoa si dawa... Ikishakuathiri, inachukua muda mrefu sana kuwa sawa. Wengine ndo basi tena.

Ni mbaya sana! Inamaliza nguvu za kiume, huwezi kushiriki tendo..., haisimami wima kishupavu kama mwanaume kamili na huwezi kumridhisha mwanamke. Hutoboi hata dakika 15. Mbaya sana punyeto!
Aisee pole mkuu
 
Pepsi Pepsi Pepsi!

Tena Pepsi iliyoganda doooh! Najitahidi kuacha lakini wapi! Yaan kuna muda mpaka nasikia viungo vinauma hiyo arosto yake nisipokunywa ila nikinywa tu mwili unakuwa kwenye msawazo swaaafi kabisa. Pepsi! Iko siku nitaiacha tu ilaaaa!
 
Huu uzi unaonyesha kwa nini CCM watatawala sana bongo hapa 😃
 
Kama hakuna mtu kasema tigo basi wabongo ni waongo
 
Back
Top Bottom