Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Sio lazima, lakn huwez kuwa na kidomo domo mahala huweki hata thumni kazi kelele tu.
Sasa na wewe mwanamke mzuri inakuwaje unadate na kidume kama huyo🤣🤣🤣🤣🤣
Jipendwni basi mbona mnajiangusha wenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Sasa tukikaza matako si yatakuwa magumu, mkiyapiga mtaumia [emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi ni mapambo lazima tuhudumiwe
Ah basi legezeni matako ili tupenye kiulaini huku mkipokea huduma😝
 
Kwanza nilisahau [emoji23][emoji23]yule aliekunyoosha mliishia wapi?
Ah sii alinyoosha sasa tulishia wapi kivipi tena mrembo? Ndio tulishabwagana tena yupo humu humu jf atakuwa anasoma commwnts zangu tuu
 
Alinambia yeye ana marafiki wengi wa kiume ko nikiona anakumbatiwa na mwanaume au anatumiwa sms za mahaba nisiwe na wivu na mtu akiniuliza kama tunadate nikatae kabisa mapenzi yetu yawe ya siri.
 
Sasa na wewe mwanamke mzuri inakuwaje unadate na kidume kama huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jipendwni basi mbona mnajiangusha wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] em niache bwana
 
Ah sii alinyoosha sasa tulishia wapi kivipi tena mrembo? Ndio tulishabwagana tena yupo humu humu jf atakuwa anasoma commwnts zangu tuu
[emoji2][emoji2] si ulisema ndio mwanamke ambae ulitokea kumpenda na unashindwa kumuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…