El khelafi
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 211
- 493
Ukilinganisha nlikua singo mda mref picha za warumi zilikua nyingi sana kwenye cm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwezaje kumvumilia?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utafutiliwaa mbaliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nitakufwaaa mwenzio nishazoea kuangalia vimbwanga vya jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinambia yeye ana marafiki wengi wa kiume ko nikiona anakumbatiwa na mwanaume au anatumiwa sms za mahaba nisiwe na wivu na mtu akiniuliza kama tunadate nikatae kabisa mapenzi yetu yawe ya siri.
🔨🔨🔨Niache kuvuta bangi...aisee.
Nilimfikiria sana kwamba huyu malaya ni gani, halafu hajui huko nyuma nilishamiliki wanawake wazuri zaidi yake, walijua nakula weed na walinipenda sana.
Nikamuacha yeye.
[emoji23][emoji23] Upendo tu, nilikua najipa moyo atabadilika ila wapi. Nilivumilia mwaka tu nikala kona.Uliwezaje kumvumilia?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ulikula konaaa dear.[emoji23][emoji23] Upendo tu, nilikua najipa moyo atabadilika ila wapi. Nilivumilia mwaka tu nikala kona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ulikula konaaa dear.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahet kwa sababu nimekula chuma sana mkono imejaa sana mshenz yule, wakati alinikuta niko hivyo.
Alikuwa ni mke au mume wa mtuMimi aliniambia nisiwe nampigia Simu Usiku kuanzia saa mbili kuendelea [emoji23]
Kupangiwa Nini na Nini nisifanye Tena kwa kunikoromea.Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?