Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ukilinganisha nlikua singo mda mref picha za warumi zilikua nyingi sana kwenye cm
 
Alinambia yeye ana marafiki wengi wa kiume ko nikiona anakumbatiwa na mwanaume au anatumiwa sms za mahaba nisiwe na wivu na mtu akiniuliza kama tunadate nikatae kabisa mapenzi yetu yawe ya siri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
Kupangiwa Nini na Nini nisifanye Tena kwa kunikoromea.

Nikamjibu: mtafute mtu wa kumpelekesha Ila sio Mimi 😂😊

Ni zamani Sanaa kipindi nipo kwenye harakat za ujana.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Back
Top Bottom