Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,337
Reaction score
5,668
Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa.....

Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa
1. Kutosalimia salimia watu

2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena.

3. Kutamani na kuwala wake za watu

4. Kupenda sn muziki nipo tayari nijichange ninunue mziki mkubwa hata wa mil 1.
😪😪😪😪😪😪😪🤔.

6. Kutojichanganya na watu nipo tyr nikae ndani hata sku nzima na mtu asjue kama nipo na naweza nisiwashe redio wala tv nikawa nimekaa tu kimya na hata simu nisiishike na nakuwa na amani tu nakuwa naongea mwenyewe najijibu mwenyewe kimya kimya nadhan kupitia ukimya huwa huwa naongea mengi sana.

7. Kutamani kuwa na wake wawili aisee hili nalo linanitesa sn wakuu natamani sn niwe na wake wawili aloo.

8. Huwa sieleweki nina furaha au nimechukia maana watu wakiniona wengne husema ni mpole wengne hudai muda mwingi nimekasirika alooo.

Kama huyu 👇👇👇👇 ni mke wa mtu leo tu nilikuwa namsogeza ndo nimeanza sasa daaah na huyu tamla tu

WAKUU NISAIDIENI USHAURI KWA MABAYA YOTE HAPO.
 

Attachments

  • Screenshot_20260523_223640_Messages.jpg
    Screenshot_20260523_223640_Messages.jpg
    105.7 KB · Views: 26
1. kuwaza au kufikiri, yani kitu kinaweza kuwa kidogo ila mimi nitakavyo kifikiria ni mpaka kero sasa,,,
2. Kujiangalia kwenye kioo 🤦‍♀️ napenda sana kioo sio kwamba ni mtu wa kujipodoa ila napenda kujitizama na kujiongelesha, naweza kumaliza hata lisaa najiangalia tu kwenye kakioo kangu
3. Kuamini watu hovyo hili huwa linani cost sana mwishoni, naweza kuumizwa leo na ndugu, rafiki, mpenzi au mtu yoyote tu nikajisemea saivi akija hata nani siwez kumsikiliza wala kumsaidia ilaa nikiongeleshwa kwa sauti ya huzuni najawa na huruma najikuta nimerudi niliko toka 😂
 
Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa.....

Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa
1. Kutosalimia salimia watu

2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena.

3. Kutamani na kuwala wake za watu

4. Kupenda sn muziki nipo tayari nijichange ninunue mziki mkubwa hata wa mil 1.
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji848].

6. Kutojichanganya na watu nipo tyr nikae ndani hata sku nzima na mtu asjue kama nipo na naweza nisiwashe redio wala tv nikawa nimekaa tu kimya na hata simu nisiishike na nakuwa na amani tu nakuwa naongea mwenyewe najijibu mwenyewe kimya kimya nadhan kupitia ukimya huwa huwa naongea mengi sana.

7. Kutamani kuwa na wake wawili aisee hili nalo linanitesa sn wakuu natamani sn niwe na wake wawili aloo.

8. Huwa sieleweki nina furaha au nimechukia maana watu wakiniona wengne husema ni mpole wengne hudai muda mwingi nimekasirika alooo.

Kama huyu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ni mke wa mtu leo tu nilikuwa namsogeza ndo nimeanza sasa daaah na huyu tamla tu

WAKUU NISAIDIENI USHAURI KWA MABAYA YOTE HAPO.
Mmekutana wote mafurushi hapo, Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom