LikewiseKutafuta pesa
Shida yako unataka kusikia unachotaka kusikia, huo ndio ukweli ukitaka kutoka hapo.Sa ww ni kama unanihukumu badala ya kunishauri
Mrudie Muumba wako kwa toba na kuamua kweli kuachana na hayo maisha ya dhambi.Sawa sa nifanyeje
Ni wewe mkuu uliyechagua utatifuAloo hayo maisha ya starehe hzo sjawahi yaweza
Mmekutana wote mafurushi hapo, Lol [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa.....
Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa
1. Kutosalimia salimia watu
2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena.
3. Kutamani na kuwala wake za watu
4. Kupenda sn muziki nipo tayari nijichange ninunue mziki mkubwa hata wa mil 1.
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji848].
6. Kutojichanganya na watu nipo tyr nikae ndani hata sku nzima na mtu asjue kama nipo na naweza nisiwashe redio wala tv nikawa nimekaa tu kimya na hata simu nisiishike na nakuwa na amani tu nakuwa naongea mwenyewe najijibu mwenyewe kimya kimya nadhan kupitia ukimya huwa huwa naongea mengi sana.
7. Kutamani kuwa na wake wawili aisee hili nalo linanitesa sn wakuu natamani sn niwe na wake wawili aloo.
8. Huwa sieleweki nina furaha au nimechukia maana watu wakiniona wengne husema ni mpole wengne hudai muda mwingi nimekasirika alooo.
Kama huyu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ni mke wa mtu leo tu nilikuwa namsogeza ndo nimeanza sasa daaah na huyu tamla tu
WAKUU NISAIDIENI USHAURI KWA MABAYA YOTE HAPO.
UtaachishwaKula wake za watu,huwa nashindwa kabisa kuacha.