Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

Kujiangalia saa nzima kwenye kioo, hili nalo la kuangaliwa😆
 

Ila bro bado una ujana mwingi.
Cheza kwa step.

Naona hapo kwa picha unatafuta wanawake hadi Badoo.
 
Nimejaribu niachane na konyagi lakini nikifikiria watu wanaofaidika ni wengi sana. Nikimfikiria yule driver anavyokwepa mashmo akizisafirisha ili apate hela amhonge mdada flani amtumie mamake japo ya sabuni kijijini, hapo hapo yule muuzaji mwenyewe bila kuniuzia apate japo ya kumhonga kibenten chake nae kibenten anunue japo kasuruali asitembee uchi nabaki tu kusema wakiachana na mimi ntaacha sasa nimeamua wakifunga kiwanda na mimi naacha.
 
Hili nalo ni tatizo
Kwanini? Amani unaipata wapi?
Hii ni kama kujiweka jela mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…