Write your reply...nilidanganya ntamuoa binti yao na yule Dada alinielewa kwelikweli wakaniingiza kwenye baadhi ya kamati ya mchango kama msimamizi niliwaambia sina kitu baba mkwe akaniambia nisitoe chochote ni simamie matumiz ya michango kufanikisha ndoa nikaishia kukimbia na mchango nikawaacha kwenye mataa ila yule mzee alishikwa na kisukari ghafla ila nashkuru hali yake ikawa sawa
ila ule mkoa sirudi tena Mzee siraji kama unasoma hapa unisamehe tu mi ni yule kijana mwambie Aisha anisamehe pia kuwatafuta na simu siwez nimesajili laini mtanipata kiharaka maana nimeskia mlifungua kesi polisi mnisamehe tu nilikuwa sina kitu