Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hebu hebu kila mmoja atoe ushuhuda ni Kitu gani alishawahi kudanganya watu wanaomzunguka kwa nia ya kujipatia kipato.
Mimi upande wangu niliwahi kudanganya nadaiwa ada enzi hizo nipo chuo kumbe napokea mkopo asilimia kama zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi upande wangu niliwahi kudanganya nadaiwa ada enzi hizo nipo chuo kumbe napokea mkopo asilimia kama zote.
Sent using Jamii Forums mobile app