Lizzy mpenzi mie hapa nachelea nisijeonyesha udhaifu wangu bana,............... bado niko kwenye training ujue (nyamayao atanielewa hapa) Nikipenda mie huwa nakuwa mjinga, zumbukuku, zezeta yaani napenda bila akili.......naaminigi mpaka visivyoaminika!!! mengi anayoyafanya huwa nayaona kama ni bahati mbaya, amepitiwa amekosea.!! nadhani penzi huwa linanipofua macho na hisia kabisaaaa nikipigwa kibao cha shavu mie nahisi ni busu, !!! Nadhani nahitaji msaada katika hili.

(Ila mchanganyiko wa haya ukifika pomoni, mh..................geuka yangu huwa ni ngumu sana) so siweziaininsha kitu kimoja amacho kitanifanya nimwache mpenzi wangu labda ajaribu yoooote (tena kwa kurudia rudia - baada yua kusamehewa mara nyinggi) ili nikinai!

Hivi nilisema sitaki kuuanika udhaifu wangu eh?!