Ni kitu kipi kinafanya our body parts to move?

Ni kitu kipi kinafanya our body parts to move?

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Wadau,

Naomba tujiulize hilo swali, je ni kitu gani huwa kinafanya kiungo chochote kifanye unachotaka? Na hicho kinachoamua hiyo body part ifanye huwa inaambiwa ifanye na kitu gani?

Mfano unaweza ukashika simu then vidole ukajikuta tu vinabofya, macho nayo yanafanya yake na huku kuna certain movement ya hayo macho na viambata vya macho, then brain inafanya kile inachoamua ufanye.

Je kipi kinasukuma ufanye hayo na inapelekea hizo body parts zihusike either kwa kumove like arms eye?

Je ni mungu ndo ana amuru ufanye hicho au what?
 
inanikumbusha kwa mbali Biology olevel, motor cortex..duh, longtime!
 
Argument for the God's existence - by Anselm of Cantebury.
 
Topic ya coordination hyo ......Google upate darasa ,
 
Ndio tatizo la kukariri kipindi unasoma,ungeelewa usingeuliza.
 
Mkuu ni Ubongo,ni km ifuatavyo.Ubongo ktk sehemu kuu tatu na kila moja inafanya kazi zake;
1.Ubongo wa Mbele(Celebrum)-huu unaratibu matendo ya hiari(Voluntary actions)km Vile kusoma,kuandika,kucheza mpira,karata,draft,kukimbia,kuongea,n.k.
2.Ubongo wa kati(Celleberum)-Huu unaratibu viungo vya mwili vinahusika na kutembea(Body balance and posture)
3.Ubongo wa nyuma(Medulla Oblangata)-Huu unaratibu matendo ya mwili yasiyo ya hiari mf.Mmeng'enyo wa chakula,Respiration,Excretion,n.k.
-Kwa hiyo juu ya swali lako kinachohusika ni Celleberum pamoja na Spinal Cord ambayo huwa inaratibu mambo ambayo yanatokana na mazoea ya muda mrefu mf.Kupiga gitar,kinanda,Vidole kubonyeza simu hata pasipo macho kuangalia herufi ya kubonyeza,n.k.Hizo huitwa kitaalamu CONDITIONED REFLEX ACTION.
 
Wadau, naomba tujiulize hilo swali, je ni kitu gan huwa kinafanya kiungo chochote kifanye unachotaka? Na hicho kinachoamua hiyo body part ifanye huwa inaambiwa ifanye na kitu gani? Mfano unaweza ukashika simu then vidole ukajikuta tu vinabofya,macho nayo yanafanya yake na huku kuna certain movement ya hayo macho na viambata vya macho,then brain inafanya kile inachoamua ufanye,je kipi kinasukuma ufanye hayo na inapelekea hizo body parts zihusike either kwa kumove like arms eye?je ni mungu ndo ana amuru ufanye hicho au what?

Akili inaunda wazo (the world within) then reflection inakuwa physical by (the world without)
 
Ndio tatizo la kukariri kipindi unasoma,ungeelewa usingeuliza.

Cha ajabu utakuta huyu dogo ana A ya biology na division one kali kabisa alafu hajui kwa nini body parts zinamove.

Mkuu Mulugo kaharibu mfumo wetu wa elimu sana,ona wahitimu wake wanachokifanya.
 
Mkuu ni Ubongo,ni km ifuatavyo.Ubongo ktk sehemu kuu tatu na kila moja inafanya kazi zake;
1.Ubongo wa Mbele(Celebrum)-huu unaratibu matendo ya hiari(Voluntary actions)km Vile kusoma,kuandika,kucheza mpira,karata,draft,kukimbia,kuongea,n.k.
2.Ubongo wa kati(Celleberum)-Huu unaratibu viungo vya mwili vinahusika na kutembea(Body balance and posture)
3.Ubongo wa nyuma(Medulla Oblangata)-Huu unaratibu matendo ya mwili yasiyo ya hiari mf.Mmeng'enyo wa chakula,Respiration,Excretion,n.k.
-Kwa hiyo juu ya swali lako kinachohusika ni Celleberum pamoja na Spinal Cord ambayo huwa inaratibu mambo ambayo yanatokana na mazoea ya muda mrefu mf.Kupiga gitar,kinanda,Vidole kubonyeza simu hata pasipo macho kuangalia herufi ya kubonyeza,n.k.Hizo huitwa kitaalamu CONDITIONED REFLEX ACTION.

Du jinsi ulivyo gawa hizo sehemu za ubongo....
 
mwenyewe nmeshindwa kshangaa hzo sehemu za ubongo ulivozgawa mkuu
 
Back
Top Bottom