issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Wadau,
Naomba tujiulize hilo swali, je ni kitu gani huwa kinafanya kiungo chochote kifanye unachotaka? Na hicho kinachoamua hiyo body part ifanye huwa inaambiwa ifanye na kitu gani?
Mfano unaweza ukashika simu then vidole ukajikuta tu vinabofya, macho nayo yanafanya yake na huku kuna certain movement ya hayo macho na viambata vya macho, then brain inafanya kile inachoamua ufanye.
Je kipi kinasukuma ufanye hayo na inapelekea hizo body parts zihusike either kwa kumove like arms eye?
Je ni mungu ndo ana amuru ufanye hicho au what?