Mkuu ni Ubongo,ni km ifuatavyo.Ubongo ktk sehemu kuu tatu na kila moja inafanya kazi zake;
1.Ubongo wa Mbele(Celebrum)-huu unaratibu matendo ya hiari(Voluntary actions)km Vile kusoma,kuandika,kucheza mpira,karata,draft,kukimbia,kuongea,n.k.
2.Ubongo wa kati(Celleberum)-Huu unaratibu viungo vya mwili vinahusika na kutembea(Body balance and posture)
3.Ubongo wa nyuma(Medulla Oblangata)-Huu unaratibu matendo ya mwili yasiyo ya hiari mf.Mmeng'enyo wa chakula,Respiration,Excretion,n.k.
-Kwa hiyo juu ya swali lako kinachohusika ni Celleberum pamoja na Spinal Cord ambayo huwa inaratibu mambo ambayo yanatokana na mazoea ya muda mrefu mf.Kupiga gitar,kinanda,Vidole kubonyeza simu hata pasipo macho kuangalia herufi ya kubonyeza,n.k.Hizo huitwa kitaalamu CONDITIONED REFLEX ACTION.