Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent".
Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai home.
Basi ile nafika home maji hakuna hata tone yaani hata kikombe. (Kulikuwa na adha ya maji ni zaidi ya mgao)Basi kwa akili yangu ya bhangi nikajikuta nimejisachi mfukoni nikakuta kuna lizzle( Karatasi maalumu kwa kusokotea bhangi).
Wazo la kibaghi bhangi likanijia kwa Nini nisisokote majani ya chai kwenye Lizzle halafu niwashe kete huku natafuna na mandazi..
Basi kweli nikasokota majani ya chai kwenye lizzle nikawasha nikaanza kuvuta huku natafuna maandazi. Ebwana eehh yale mandazi yaliisha yote..
Vituko vilikuwa vingi sana kuna siku nilimfokea boss wangu kwanini anachelewa kazini,.... Mwisho nilikata shauri nikaachana nayo. Karibu utupe mkasa wako.