Kamtwanje H
Member
- Oct 16, 2010
- 15
- 12
Hili ndio kaburi rasmi la AzamDstv vifurushi vyote vitaonesha, kuanzia cha elfu 19 hadi cha laki na 69.
Azam wasubirie TPLHili ndio kaburi rasmi la Azam
Dstv vifurushi vyote vitaonesha, kuanzia cha elfu 19 hadi cha laki na 69.
ZBC 2
Kwa Azam, na startimes hawana leseni hiyo ila Kwese free channel zitaonyesha kwahyo
ni hivi TBC 1 itaonyesha gemu za Tz tu kupitia kwese free channel
kwahyo itakuwa hivyo hivyo kwa Kenya na Uganda kupitia nchi zao itaruhusiwa kuonyesha mechi kadhaa za timu zao tu hii ni kwasababu Azam wala startime hawakuomba reseni hiyo tofauti na Dstv ambayo imepewa leseni ya kurusha gemu zote
Labda tv 1Asante mkuu. Kwa hiyo ata Startimes hawajaonyesha nia ya kutuonyesha?. Hii mbona itakuwa aibu kwa taifa kwa kweli.