SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani nadhani kuhusu Tundu Lissu. Kile kituo kilipigwa faini nadhani ya milioni 20.
Ningependa kujua kituo kile ni kipi na taarifa ile iliyorushwa ilikuwa ni ipi.
Ningependa kujua kituo kile ni kipi na taarifa ile iliyorushwa ilikuwa ni ipi.