Muone vile πHuwa natest mitambo kwa kutumia picha yako.
Umewaza nini tena ππππ
Ubongo wanguMimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
Kumbe afya nayo ni kiungo cha mwiliAfya!!
Acha kabisa nilikuwa na njaa afu nikatype....Kumbe afya nayo ni kiungo cha mwili
Jicho lako tu et πUmewaza nini tena π
Uchokozi huoJicho lako tu et π
Nitumie namba yako ya mpesa πUchokozi huo
Nina Airtel Money πNitumie namba yako ya mpesa π
Tuma bank account, Airtel haita mudu kishindo!! Upendo wangu na pesa zangu nataka nikugaie weweNina Airtel Money π
Utakuta ni kishindo cha awamu ya pili π πTuma bank account, Airtel haita mudu kishindo!! Upendo wangu na pesa zangu nataka nikugaie wewe
Cha awamu ya tano buana kinavunja hadi simu πTuma bank account, Airtel haita mudu kishindo!! Upendo wangu na pesa zangu nataka nikugaie wewe
Njoo mumama, pesa ipo hapa sitegemei TASAF ππCha awamu ya tano buana kinavunja hadi simu π