swala la mtaji inategemea na location utakayofungua biashara yako... kwa sababu biashara ya pharmacy inaathiriwa na location kwa asilimia kubwa na ili upate location yenye tija utatakiwa usitafute frem iliyo wazi bali utafute location unayoona inafaa then uhakikishe unapata fremu hapo bila kujali gharama.
kuna mfanyabiashara alinunua tu location nje ya kodi kwa mil 90... siku ya kwanza tu aliuza mil 2 +, na kwene biashara ya dawa retail ukiuza 2m + manake profit ni 1mil +... kwa sasa anauza sio chin ya mil 3+/day
so ukishamaliza icho kipengele ukiwa ni 20mil, unasimamisha pharmacy vizuri nabhela ya emergency inabaki.
kwa vichache ninavyovijua
vibali haizidi 1.5m/year
hela ya mphamasia 1m/month
frem itategemea eneo/6month or year
marekebisho ya frem, kuiweka ikae kipharmacy, mabango etc 3m-5m kulingana na design utayotaka
wafanyakazi... pharmteck/dispenser, 450k -600k monthy... itategemea utataka uajili wangapi.
dawa weka bajet ya 5mil + 7mil... kwa kuanzia inatosha... utakuwa unaongeza kila siku kulingana na mahitaji mpk utakapoona duka lako lijitosheleze.
NB; zingatia sana kwene utafutaji wa location ili kupata return inayoeleweka + tofauti na ivo basi uwekeze kwene huduma ili kuwapa wagonjwa sababu ya kuifata huduma kwako kitu ambacho kitachukua mda mpk ujulikane.