Ni kizinga cha aina gani umepigwa sikukuu hii ya leo?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kama desturi yetu ilivyo watanzania zinapokaribia sikuku au kipindi cha sikuku hakiwezi kupita bila kupigwa mzinga tuu

Kwa upande wako hebu tuambie ni mzinga wa aina gani uliopigwa sikuku ya leo hiii mimi upande wangu nimepigwa mzinga ...

Mimi upande wangu kuamka na kuamka nimepigwa mzinga wa elfu 30,000 hela ya kusuka na demu wangu zamani

Mwingine nae kanipiga mzinga ana shida ya elfu 50,000 atanirudishia jioni anadai atm card imemezwa .........

Haya upande wako wewe uko je
 
Nina bajeti ya kila jambo in advance... kwa hiyo najua mwenyewe majukumu yangu kabla hiyo mizinga haijaanza nishaizima zamani...


Cc: mahondaw
 
Mimi natafuta mtu wa kunipiga mzinga lakini sipati....kila nikimpigia mtoto simu ananiambia yuko kwa ndugu yake ameenda kula pasaka.
Niko room nimechiill tu
 
Hata kula sijala hapa sembuse mizinga??
Naskia harufu ya ubweche kwa mbali mixer vyuku!
Dem wangu mwenyewe anasema nimpeleke chako ni chako akale vyuku
 
Mi nimeombwa 30 ya kusuka mapema tu, nkaunganusha hapo na ya lodge kabisa, hapa nipo home nasubiri tu simu kuelekezwa eneo la shughuli
 
Jana kanitumia meseji Eti nimtumie hata 5000..nimemwambia me Sina hela
Kiukweli sielewi me mwenyewe naona mapicha picha tu
 
Kuna simu nimezichunia tangu alhamisi kuu kutoka kwa mtu fulani, hazikuwa simu za kheri zile kwa asilimia miambili
hahahah kwangu hali ni hiyo hiyo toka juzi sijatoa ushirikiano kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…