Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Eeh bhana
Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha.
Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo.

Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa jamaa mmoja mwenye 20 million akiomba ushauri wa afanye biashara gani.

Komenti yangu ambayo nimeitambua kama tango poli ni hii hapa

Screenshot nyengine ni ya jamaa Bufa anaitwa kwa maelezo yake ni kuwa yupo STATES.....

Kwenda nje na kusettle sio jambo jepesi wala la muda mfupi kama nilivyotype
 
Attachments

  • Screenshot_20240627-162017.jpg
    Screenshot_20240627-162017.jpg
    171.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240627-162226.jpg
    Screenshot_20240627-162226.jpg
    178.7 KB · Views: 8
Eeh bhana
Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha.
Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo.

Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa jamaa mmoja mwenye 20 million akiomba ushauri wa afanye biashara gani.

Komenti yangu ambayo nimeitambua kama tango poli ni hii hapa

Screenshot nyengine ni ya jamaa Bufa anaitwa kwa maelezo yake ni kuwa yupo STATES.....

Kwenda nje na kusettle sio jambo jepesi wala la muda mfupi kama nilivyotype

😂 😂 😂

Hata mimi kiwanja kumenishinda nimerudi zangu Chitipa nalima viazi na mwanangu Kalaga baho huku ananifundisha ulozi.

Arudie kufanya alichofanya kupata hiyo 20M.
 
Back
Top Bottom