Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Aboud Jumbe alikuwa Kifungoni kwa Amri ya Julius Nyerere ,Chini ya Uendesha mashtaka wa Maalim Seif Sharif Hamad na Nassor Moyo. Kosa lake ni kutaka serikal tatu anazolilia Seif. Kifungo chake kitamalizika wakati anapelekwa Kaburini

Kumbe ni hukumu ya maisha
 
kifungo cha maisha ambacho kingunge naye kapewa bani ya maisha
 
Mzee JUMBE yupo huru ...salama salimin......
Fika kwa majirani upate uhakika....
 
Namuulizia Aboud Jumbe wa Zanzibar aliyekamatwa na kuzuiliwa Mji Mwema.

Hivi maskini mzee huyu yupo wapi kwa sasa?
 
Kila jambo na wakati wake. Jumbe alifanya yake kwa wakati huo, mwacheni apumzike. Wengine walipokea, wanapokea na watapokea vijiti kuendeleza mbio.
 
wanasubiri ifike miaka 27 kama mandela ndio wamtoe,vumilieni wakuu,imebakia miwili tu mtamuona anatamba kwenye majukwaa ya kisiasa tena...
 
Ngoja nikuweke maji kwenye beseni ili nisome Vizuri maana wengine hatuweko!!
 
Duuh nyerere alikuwa noma kwaiyo mpk sasa mzee wa watu haruhusiwi kuiona hata posta
 
Jumbe kawa mzee sasa,yupo kwake mjimwema,ana ulinzi,gari na mafao ya serikali hiyo habari ya kukamatwa kwake uliisikia wapi
Mkuu,
Ngoja tuongeze uthibitisho wa uhuru wa Mzee Aboud Jumbe. Picha za karibuni tunawaona kina Dr. Shein Rais wa SMZ, Maalim Seif Katibu Mkuu CUF, Dr. Bilal Makamu wa Rais Mstaafu wakiwa ktk picha na Mzee Jumbe, Kina-Tomaso picha hizi za Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, amezaliwa 14 June 1920 na sasa ana umri wa miaka 96 ndiyo maana haonekani kutokana na umri mkubwa.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…