Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

.
na kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
..haha, kwani huwezi waza labda Kuna solar?
 
...hapa serikali Ni moja Tu, 2 au 3 za nini?
 
Yupo nyumbani kwake mji mwema na mara kwa mara amekuwa akipelekwa nchini India kwa matibabu.
 
Zanzibar Ni nchi kwani?
Ni wilaya kama ilivyo tanganyika

Zilipoungana wilaya mbili huru kukapatikana tanzania

na kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
Atakua anatumia back up supply ya solar au inveter zinachaji battery kubwa ambazo ziwasha umeme kwake incase umeme wa tanesco ukikatika
 
na kwa taarifa kigamboni yote umeme wa tanesco ukikatika ni kwakwe tu unaendelea kuwaka....sasa ujiulize kuna kebo ya waya wa umeme kutoka upande wa pili wa nyumba nyeupe umeenda kwake au la
Kuna standby generator na ukumbuke huyu alikuwa Rais kwahiyo anapewa Haki yake kama Marais wengine waliopitia Urais
 
Sema Wale Jamaa wa Usalama wanao mlinda ni makauzu. Maana ukipita hata Umbali gani utafuatiliwa na kuulizwa kama gaidi
 
Yeah,umetoa hints kwa mbaaaliii mkuu.
Kama mtu amesoma kile kitabu chake cha "Partnership" atakuwa anaelewa vyema alichokuwa anasimamia mzee huyu,
Alisalitiwa na waroho wa madaraka ambao sasa wamejifanya kuwa wapinzani wakuu.
 
Kuna standby generator na ukumbuke huyu alikuwa Rais kwahiyo anapewa Haki yake kama Marais wengine waliopitia Urais
Sasa mbona yupo" under detention without trial" isiyo julikana mwisho wake..!!??
 
Hiyo detection ulimuweka wewe? ukiambiwa leta ushahidi hapa utaweza au ndio unataka ku u mislead UMMA?
Bhac mkuu nimekosa,maana watu ukweli hawataki kusikia.
Yupo huru kama JK au Karume au Salmin Amour,umefurahi sasa...!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…