Dr Faustine Ndugulile
MP Kigamboni
- Jul 16, 2012
- 251
- 439
Hakika ni usimulizi mzuri wa historia ya kisiasa ya Zanzibar. Hongera Mihangwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini Kina Seif Hamad hata kama hawampendi NYRERE kisiasa wasiseme UKWELI walionao Juu ya Nyerere? Nadhani tungekuwa na AMANI zaidi ya Sasa hivi... Vingi vya Sasa tunachukua Matatizo ya wengi na kumlundikizia CHUKI NYERERE wakati yeye alipenda UONGOZI wa USAWA wa hao VIONGOZI...
Hatujawahi kusikia SEIF SHARIFF HAMAD akimuongelea SALIM SALIM hata kidogo
Mkuu,
Ukiamua kumuona mtu ni mbaya, LAZIMA utamuona ni mbaya, hata afanye nini! Utajaribu kuokoteza hili na lile ili mradi tu utimize haja ya moyo wako!
Nadhan huyu mzee alitaka kutumika na mwl alipokataa kuwasaliti wazanzibar akatupwa kigambon pale na mwaka huohuo katiba ikabadilishwa kipengele cha rais wa zanzbar kuwa makam wa rais ktk SMT
Mzee Jumbe anamatatizo ya macho, Komandoo nae anamatatizo ya macho...tatizo mfumo...
Komandoo, Salmin, ana matatizo ya macho tangu lini? Haoni au? Kama ni umri yule mbona bado sana.
Mkuu lkn I feel huyu mzee anachukiwa sana. Coz hata kama aliteleza ndio asithaminiwe hata kidogo. Juzi tumeaswa na JK TUSAMEHEANE