[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ulinunulia kitu gani?Nilikula hela niliyopewaga nikatoe sadaka.shilingi 20.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ulinunulia kitu gani?
Umenikumbusha mabumunda ya kanisani kwetu. Enzi hizo ulikuwa wapi?[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Mkuu hii ilikuwa iringa miaka hiyoo.Umenikumbusha mabumunda ya kanisani kwetu. Enzi hizo ulikuwa wapi?
Hujachelewa, mtafute tuKutomla jokate nakumbuka tulikua wote na tulicheza michezo kibao kama kombelela nk
Hahahaaaa duh kumbe hisia zangu za kweli. Nilijua ni iringa maana huko kwa mabumunda ni balaa. Mie pia niliishi iringa kanisa langu lilikuwa rc mshindo. Ni kuna mabumunda hatari bila kusahau gubiti za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hii ilikuwa iringa miaka hiyoo.
Nafikiri kosa la kuanza shule na umri mkubwa halikuwa kosa lako.Hilo ni la wazazi maana kuanza shule kwa ninavyoelewa mtoto hana maamuzi yoyote kwa familia zetu nyingi za kiafrika.!!Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.
Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miak 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.
Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kinaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.
Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?
Umenikumbusha mabumunda enzi za primary aise... Hivi bado yapogo?[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.