Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Pale ambapo tulitaka kutoroka kwenda Soccer Academy pengine ningekuwa bonge la Attacking Mid-fild muda huu sema shule ilitubana sana na nilikuwa inspired by HARUNA MOSHI BOBAN dah! Nikikumbuka huwa nawaza sana kumbe ningetoroka tu.
 
Dah kosa nilo fanya tulikua azania tuna mech ya wafanya biashara na vijana flan wa kitaa ikatokea virugu nikakimbia kwenye gari nikatoa cha moto changu broun 9ml nikapiga juu watu wote wakatawanyika nikii hivi najilaum sana kwa kosa nilo fanya sinta rudia tena
 
Nafikiri kosa la kuanza shule na umri mkubwa halikuwa kosa lako.Hilo ni la wazazi maana kuanza shule kwa ninavyoelewa mtoto hana maamuzi yoyote kwa familia zetu nyingi za kiafrika.!!
Kwa hiyo wala usilijutie mkuu!!
Yes. Kwa kiasi fulani wazazi wanahusika ila kwa asilimia fulani nami napaswa kujilaumu, hasa hili kosa la pili la kukaa nje ya shule kwa miaka 6.
 
Back
Top Bottom