Taxation IFM ni janga...marafiki zangu tuliosoma wote ( ila wao tax) hawajapata kazi hadi leo, mwaka wa 3![emoji24] [emoji24] [emoji24]Najuta kusoma course ya taxation ifm najutaaaaa mnooooo
Mkuu kumbe tax ni ugonjwa wa taifa asee nimejifunza kitu kwakwl maana hii kozi nilitaka kumshauri mtu akasome sikuijuaTaxation IFM ni janga...marafiki zangu tuliosoma wote ( ila wao tax) hawajapata kazi hadi leo, mwaka wa 3![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kuna ambaye hajawahi kujutia hilo kweli?....nyege zinausumbufu mkubwa sana.Najuta kubarehe
Usithubutu mkuu...imagine miongoni mwa marafiki zangu hao, watatu wa kike wameamua kujizalia watoto tu sasa hivi, hao wanaume ndo kabisa mtu hadi unamwonea huruma asee!..wanajuta na hiyo course!!!Mkuu kumbe tax ni ugonjwa wa taifa asee nimejifunza kitu kwakwl maana hii kozi nilitaka kumshauri mtu akasome sikuijua
me pia najuta kila ajaye mke/demu wa mtu na nimeamua kuwa single kama vipi nitafutee . tufarijianeNajutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Kumbe wewe ndo ulikuaga unanicheka nikizama huku nakunywa maji. Najuta kutokujua kuogeleaKipindi mdogo enzi hizo mhuni nipo darasa la 4 tulienda kuogelea kwenye mto na kuvua samaki na marafiki basi katika kuogelea kuna rafiki yetu mmoja alijifanya mtaalamu sana wa kuogelea akaenda hadi kwenye kina kirefu bahati mbaya akaanza kuzama ila matokeo yake badala ya kumuokoa tukaanza kuhesabu ile anavyozama na kuibuka huku akinywa maji yani ile Cha kwanza,cha pili,tatu,nne cha tano hakuibuka tukasikilizia kwa muda ila kuna mmoja akajitosa kwenda kumtoa akafadikisha ila Jamaa alikuwa kavimba tumbo kama mimba ya miezi 9 tukaanza mchapa na mchanga mpaka maji yakaisha alikuja zinduka baadae na jamaa akajiapiza hatorudi tena ila ile taswira ya yeye kuzama huku tukicheka ilinitesa kwa miaka kadhaa mana nilikua naota jamaa kashapoteza maisha mara kawa mtu wa ajabu yaani mauzauza kibao...nina matukio mengi ila hili ndo lilinitesa sana japo nalikumbuka kwa mbali na haliniletei madhara
Hahahaha mkuu hapana aisee. Endelea kutafuta tafuta huko, ipo siku utapata alie single.me pia najuta kila ajaye mke/demu wa mtu na nimeamua kuwa single kama vipi nitafutee . tufarijiane
KWANI WE THI UMETHEMA UPO THINGLE?Hahahaha mkuu hapana aisee. Endelea kutafuta tafuta huko, ipo siku utapata alie single.
Du pole sana mkuu, yote maisha. Unajua kama siku zingekuwa zinaganda nikarudi kuwa mvulana wa miaka 15 ningesoma hadi nichizi ili niwe daktari au mhasibu. Rafiki zangu waliosoma uhasibu na udaktari mambo yao yako safi sana.Kwanza najuta kwa kupambana na somo ambalo nilikuwa siliwezi tangu form one lakini kwa kutolikatia tamaa nikapata A necta form 2 peke yangu nilipoingia form 3 walimu na mzazi wangu wakanishikiza nisome arts na huo ndo ukawa mwisho wa ndoto zangu za kuwa engineer
Pili najuta kwa kusoma kwa nguvu zangu zote form 4 kwani nilifaulu sana na kupangiwa kipaji wakati uwezo wangu ni kusoma shule za kata nikaishia kuonekana ****** na kuwasindikiza wezangu
Umenigusa mkuuNajuta kusoma baed kwa kufuata mkumbo na boom,haikuwa ndoto yangu kabisa,aliyenipa huu ushauri Mungu anamuona.
Wenzio bado wapo wapo. SanaNahisi nilichelewa kuoa japo nilioa nkiwa na miaka 23 lakn naona nilichelewa kwakwl ndoa tamu jaman hasa hofu ya Mungu ikiwepo na imenisaidia kufanya maendeleo makubwa,wenzangu niliokuw nao kampani bado ni wahuni sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikula hela niliyopewaga nikatoe sadaka.shilingi 20.
Hiyo lazima ujute mama mdogo ni sawa na mama ako pole sanasananajuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Du, ilikuwaje mkuu? Hii hatari. Miaka 17 mbona ulikuwa mkubwa tu mkuu? Hebu eleza ilikuwaje.najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA