Madamu umejuta mwenyezimungu atakusamehe na kukupa subira,jaribu kukontroo hasila zakonajutia kukosa subira dhidi ya ex wangu ambaye ni wife material.NILIMPIGA TUKASEPARATE NA HAKUNISAMEHE MPAKA KESHO SITARUDIA TENA KUPIGA MWANAMKE .MUNGU NIJAALIE SUBIRA.
Kwenye hili Suala la kuchagua kozi za kusoma ni tatizo lililotukuta watu wengi sana vyuoni.... Lakini pia hili jambo la kuchagua kozi linachangiwa na kutopata ushauri mzuri tunavyomaliza six na kwenda vyuoniKosa ninalojutia kozi niliyosomea najuta sio sir nilitembea kutafuta kaz mpk bahasha ilikuwa inachanika kwa jasho la mkono ila sikupata na mpk sasa niliamua kuachana na hizo habar nikaamua kujiajir tu
Wengi wetu tuliangalia au kuhis hii kitu nikimaliza ajira ni nje nje kumbe cvyo ni msoto kwa mbele sio cr koz niliyoisomea hata kuifanyia kaz tena sitaki maana sion faida nakomaa na biashara yangu tuu niliyiifungua sasa nina mwaka na nusu toka nifungue biasharaKwenye hili Suala la kuchagua kozi za kusoma ni tatizo lililotukuta watu wengi sana vyuoni.... Lakini pia hili jambo la kuchagua kozi linachangiwa na kutopata ushauri mzuri tunavyomaliza six na kwenda vyuoni
Polee sanaa.najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Kosa ninalojutia kozi niliyosomea najuta sio sir nilitembea kutafuta kaz mpk bahasha ilikuwa inachanika kwa jasho la mkono ila sikupata na mpk sasa niliamua kuachana na hizo habar nikaamua kujiajir tu
Nimejikuta nacheka tuu hahahaha.Dada babaako
Toba....[emoji87] [emoji87]Najuta kuwa mimi. .
Kwahili haupaswi kujuta kwani yawezekana hautumii muda wako mwingi kutuchunguza wakati tuna kuzoza.Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Aiseeee....[emoji45] [emoji45]...najuta kumtingishia kiberiti mchumba wangu ( kipindi hicho)..akanimwaga mazima almanusura nijiue...
Pole sana aiseeeNajuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hivi ile kesi ya City Boy, mlisha imaliza[emoji15] [emoji15]Najuta kusalimiana na mwenzangu kwa kuyumbisha magari hadi tukasababisha majanga
hii ni dalili ya tamaa komaa ndugu😡😡😡😡😡NAJUTIA KUZALIWA TZ NATAMAN NINGEZALIWA DUBAI AMA USA