Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kuhusu coz hapo tuko pa1,nmesoma mechanical engineer,kla interview nafeli,nkibahatka,kupata kaz n kwa wahindi kiwandan,sna ham na wahindi,cjui niende gereji tu,nkalipwe 1oooo
fanya mishemishe uondoke nchini.
 
Kuhusu coz hapo tuko pa1,nmesoma mechanical engineer,kla interview nafeli,nkibahatka,kupata kaz n kwa wahindi kiwandan,sna ham na wahindi,cjui niende gereji tu,nkalipwe 1oooo
Kwahiyo tatizo lake ajira zake ni finyuuuu...!!!Au ajira ulikua unapata ila bahati mbaya unafail interviews?!..
 
Dah najuta sana nilianzisha mahusiano na mke wa mtu mpaka aka data na mimi tukafikia mpaka nikamzalisha watoto 2 huku Mme wake akiwa kamzalia mtoto 1 tu. niki waangalia wale watoto naishiaga ku umia tu kuwachukua siwezi kwa sababu wapo kwenye ndoa ya mtu.,hiyo kitu imeniumiza mpaka Leo sijafikiria kuingia kwenye ndoa nikiwaza sijui na mimi takuja kufanyiwa hivyo kwenye ndoa yangu sina hamu kabisa na hawa viumbe ..mbinguni huko tuna kesi nyingi sana za kujibu maana haya maisha acheni tu najuta mpaka kesho kutwa.
 
Back
Top Bottom