Dah najuta sana nilianzisha mahusiano na mke wa mtu mpaka aka data na mimi tukafikia mpaka nikamzalisha watoto 2 huku Mme wake akiwa kamzalia mtoto 1 tu. niki waangalia wale watoto naishiaga ku umia tu kuwachukua siwezi kwa sababu wapo kwenye ndoa ya mtu.,hiyo kitu imeniumiza mpaka Leo sijafikiria kuingia kwenye ndoa nikiwaza sijui na mimi takuja kufanyiwa hivyo kwenye ndoa yangu sina hamu kabisa na hawa viumbe ..mbinguni huko tuna kesi nyingi sana za kujibu maana haya maisha acheni tu najuta mpaka kesho kutwa.