Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,970
Du pole sana mkuu. Muombe sana Mungu na utubu makosa yako kwa dhati atakusamehe. Mungu ni mwingi wa rehema.
Nimeshafanya toba mkuu na hiki kitu naomba kwa Mungu kila siku anisamehe. SITARUDIA.
Du pole sana mkuu. Muombe sana Mungu na utubu makosa yako kwa dhati atakusamehe. Mungu ni mwingi wa rehema.
Kwahiyo mkuu hao waume za watu ulikuwa unawapa papuchiAsante
Asante ndg.
So sad. Mtoto ni wako au wa mume wake wa kufikia? Inauma sana lakini piga moyo konde. Mara moja moja uwe unapiga naye story na kumplease. But kama wewe ni muislam still unaweza ukafanya mpango umuoe kama mke wa pili ili kumpunguzia stress ya kukuwaza.nilioa kaka.miez mitatu toka tuachane.i was so mad at her kumbe hakua na kosa!nasikitika kwa ninayoyasikia kuhusu yeye.kampa mtoto jina langu,anasema ana mume mmoja tu na hakuna mwingine atakuja kumgusa tena.
nilidhani muda utamtibu but ni miaka 6 sasa and she's of the same stance...inaudhi mwanaume akikosa solutions..
So sad. Mtoto ni wako au wa mume wake wa kufikia? Inauma sana lakini piga moyo konde. Mara moja moja uwe unapiga naye story na kumplease. But kama wewe ni muislam still unaweza ukafanya mpango umuoe kama mke wa pili ili kumpunguzia stress ya kukuwaza.
si vizuri kujichukulia sheria mkononiNliwahi kumpiga sana mwizi kumbe ni ndugu yangu!
Yes!Roho?
So sad!nilioa kaka.miez mitatu toka tuachane.i was so mad at her kumbe hakua na kosa!nasikitika kwa ninayoyasikia kuhusu yeye.kampa mtoto jina langu,anasema ana mume mmoja tu na hakuna mwingine atakuja kumgusa tena.
nilidhani muda utamtibu but ni miaka 6 sasa and she's of the same stance...inaudhi mwanaume akikosa solutions..
kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
kumuacha mrembo alienipenda kwa dhati ya moyo...kumbe ana mimba yangu na sasa siwez kuwa nae sababu ya mazingira na bahati mbaya hamtaki yeyote mwingine isipokua mimi..she's so innocent,hastahili maumivu niliompa.sad that i cant change anything now
Zitupie kwangu na utakuwa huru milele. (utani).Najutia sana mchongo fulani nilipiga job nikajeruhi watu wengi kisa tamaa ya pesa ndefu. Nashukuru Mungu miongoni mwa niliowapiga mamilioni wamenisamehe ila sina amani, ni miaka mitatu sasa imepita.
Hata assets nilizonunua kutokana na hela hiyo hazinifurahishi
Uliacha course gani hizo za maanaDah! Mimi najutia sana kwenda kusoma coz ya ajabu ajabu kweli UDOM...niliacha coz ya maana ya SUA Na Mzumbe nikakimbilia DOM..... Hilo jambo najutia hadi huu mda ninavyoandika hapa ....labda badae Mungu akinisaidia nitaacha kujutia.....
Zitupie kwangu na utakuwa huru milele. (utani).
Uhanga huu ni mmbaya sana tusaidianeMkuu, unahitaji ushauri wa kisaikolojia ili kuachana na hiyo kitu...siyo kitu kizuri hata kidogo.
Bora we ya sadaka mie fungi LA kumiNilikula hela niliyopewaga nikatoe sadaka.shilingi 20.