Mwiyuzi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 854
- 452
Uongo unakusaidia nini sasa? Mara umesoma computer science mara mining....which is which??? A liar should have a good memory!najuta kusoma Mining ENG-mliman, nilishtuka time ishaenda....!
Uongo unakusaidia nini sasa? Mara umesoma computer science mara mining....which is which??? A liar should have a good memory!najuta kusoma Mining ENG-mliman, nilishtuka time ishaenda....!
Sio kukosea kuchagua kozi inshort sasa hiv ukisoma coz yeyote utegemee kuajiriwa ni kama unapoteza muda ww bora usome tu kuongeza maarifaKwenye swala la course hapo tupo wengi sana. Ni wachache sana walioridhika na kuzifurahia taalamu zao baada ya wao kumaliza masomo vyuoni.
Kiukweli inauma sana mtu unatumia nguvu nyingi,muda,pesa nyingi tena ndio ukute huna hata mkopo.
Alafu unatoka hapo unakuja kukaa mtaani hadi unapazoea bila kunufaika chochote na fani hiyo...hatimae unaingia kwenye inshu nyingine kabisa na kuona ni kama tu vile ulienda kupoteza muda uko chuoni.
Hii inauma sana na inaleta majuto.
Nimecheka Sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Du pole sana mkuu. Ama kweli majuto ni mjukuu.Najuta kuamua kubaki kazini kwangu wakati nilifanya interview kwenye taasis nyingine ya fedha nikapata ila nikaona basic salary itapungua elf 50.sasa kwetu kila Mwaka salary inaongezeka 5 to 7 % wakati huko kumbe ni 15 to 20 %.sasa ni miaka4 .
Inauma mpaka natamani tujilipue wote bora watoto wabaki yatima ,najitahidi kuvumilia maisha yanavyoniwia magumu ndio hali ya malipizo inavyonijia sijawai kukaa dk 10 bila kufikilia na kujuta na hayo madogo niliyoeleza nikisema yote utoamini nilivumilia vipi na kwanini (alinifanyia dawa za kienyeji ) nae alishawai kukili,duniani kunawatu wanaloho mbaya shetani anasubili.Msamehe halafu uone kichapo atakachopata kutoka kwa Mungu! Sbb ukimshikilia unaumia then utashindwa ku move on
Pole sana mkuuNajuta sana nilitumia ujana wangu vibaya ,kuwa na demu kila kona ,nipo uzeeni sasa sina hata kibanda hii inauma sna
Mkuu najuta Sana Na kwa maisha ya sasa yalivyokuwa magumu! Yaan we acha tuDu pole sana mkuu. Ama kweli majuto ni mjukuu.
Ndio maisha, ila tujifunzeePole sana mkuu
Ni kweli tujifunzeNdio maisha, ila tujifunzee
Pole sana mkuuNAJUTA KUKUBALI KWENDA KUSOMA SPECIAL DIPLOMA UDOM ,ALAFU BAADAE NINAKUJA KUITWA [HASHTAG]#KILAZAAA[/HASHTAG] TENA KWA KUFUKUZWA NA POLISI ,??DAH
Ulichokisema ndio hali iliyopo tunayojionea mkuu..!!Sio kukosea kuchagua kozi inshort sasa hiv ukisoma coz yeyote utegemee kuajiriwa ni kama unapoteza muda ww bora usome tu kuongeza maarifa
Huwa nawaambia wanafunzi wanaotaka kwenda chuo kusoma then wakimaliza wanategemea kuajiriwa(kwa wale wanasiopata mikopo) kwamba hizo milioni kadhaa za ada ni bora wafanyie kitu kingine after 3 yrs watakua mbali kuliko yule alienda chuo wananiona mad
wewe hauna unachojutia mkuu?Nafikiri kosa la kuanza shule na umri mkubwa halikuwa kosa lako.Hilo ni la wazazi maana kuanza shule kwa ninavyoelewa mtoto hana maamuzi yoyote kwa familia zetu nyingi za kiafrika.!!
Kwa hiyo wala usilijutie mkuu!!
Hapana mkuu nikisema ndo ntajutia mara sitaPole sana mkuu ila usiogope sema tu.