Kwa jinsi hiyo avatar yako ilivyo nilifikiri utaenda kunzungumzia masuala mazito kumbe unaenda kuzungumzia eti mapenzi!![emoji15]Kwangu mie nikuanza mahusiano ya mapenzi katika umri mdogo matokeo yake ni siri yangu mpaka leo nimaafa yanaendelea kunipata tu.
Tunafanana ktk hilo tukio lako, except we ni me mi ni keHahaha... ungejua jinsi vimeo vyenyewe vilivyonipelekesha!! Ndio maana usishangae mtu anaendesha vogue huku amekunja sura utafikiri amekalia mwiba
Kwasababu nimehathirika sana hata vtu napaform below standardKwa jinsi hiyo avatar yako ilivyo nilifikiri utaenda kunzungumzia masuala mazito kumbe unaenda kuzungumzia eti mapenzi!![emoji15]
Tunafanana ktk hilo tukio lako, except we ni me mi ni ke
We acha zile hela lazima upate majanga na ukicheza vibaya jela inakuhusu!...mi mpaka nililaaniwa,ila siku hazigandi hatimaye hali imekuwa shwari sasa...I thank GODPole. Mwenzio sikuizi nasali vibaya sana
Hahahahahahaha umeshatubu sahau mkuu maisha yaendelee.Hahaha... ungejua jinsi vimeo vyenyewe vilivyonipelekesha!! Ndio maana usishangae mtu anaendesha vogue huku amekunja sura utafikiri amekalia mwiba
We acha zile hela lazima upate majanga na ukicheza vibaya jela inakuhusu!...mi mpaka nililaaniwa,ila siku hazigandi hatimaye hali imekuwa shwari sasa...I thank GOD
Basi mapenzi ni noma ila thanks Sir Issack Newton aliyakataa ili kuifikisha dunia hapa ilipo leo!Kwasababu nimehathirika sana hata vtu napaform below standard
Thubutuuuu! ....Sikupona hivi hivi ndugu yangu novena ilifanya kazi hapa tena mfululizo ( almost 3 months)...ila Sir God ana huruma asee! Sikutegemea kama ningechomoka[emoji120] [emoji120] [emoji120]Wakati mwingine ukiponea chupu chupu kama hivyo ndo unajua Mungu yupo
Mi kwa kwel najuta kusom cozi y hr ambpo huu mwaka4 sina kazi. .. wkt nilikuww na ndoto za kuwa engineer.!
Najuta kupata A ya kiswahili necta form 2 kwani ilikuja kuua ndoto zangu za kusoma science kwani walimu waliamini nayaweza masomo ya arts zaidi wakati nilibahatishaKukosa ndoto ya maisha!
Mimi ulinikataa pamoja ya kwamba tulipanga tuishi wote na sikuwa na mke. Najua sababu kipindi hicho sikuwa na kazi na wewe ulishapata kazi pact. I was very serious by then, all in all poleeNajutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
...najuta kumtingishia kiberiti mchumba wangu ( kipindi hicho)..akanimwaga mazima almanusura nijiue...
Alooo hiyo kitu naskia haifai hata kidogo, ukitaka kuendana nayo sawa inakubidi usome kama umetumwa na nzengo.Najuta kusoma course ya taxation ifm najutaaaaa mnooooo
Suala sio kazi hapa, ishu ni upendo. Je, ningewezaje kuishi na mtu ambae simpendi kwa dhati?hiyo ingekuwa ndoa au mfano wa ndoa?Mimi ulinikataa pamoja ya kwamba tulipanga tuishi wote na sikuwa na mke. Najua sababu kipindi hicho sikuwa na kazi na wewe ulishapata kazi pact. I was very serious by then, all in all polee