Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kuna dada mmoja nljua nampenda sana imean that true love ila sikumwambia thinking alikua na mtu...baada ya miaka kadhaa nilikuja kukutana nae mie nshakua na girlfrnd nikamwambia kuhusu mpenzi nlonayo kwake..yule dada ali lilia sana akanambia hakuna mwanaume amewai kumpenda kama anavyonipenda Mimi..tulibaki kulaumiana tu kwann hatukuambiana..na kwa mda huo mia nlikua na girlfrnd mwenyewe mimba ndo ikawa bas tena....
 
1.Nina mdogo wangu wa kiume huwa anatembea haangaliagi.Basi siku hiyo asubuhi nikaskia puu nkaropoka huku natoka nje na ukome mana huangaliagi unatembea kama huna macho Laaahaula!kutoka nje ni mdingi kateleza akaanguka nlisikiaje aibu halafu na yeye akanambia sawa bhana.
Ikabidi nijitetee ila niloona aibu na kujiskia vibaya
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya japo yeye alielewa

2.Najuta kusoma course ambayo niliisoma tu kwasababu ntakuwa na uhakika wa kupata ajira mapema lakini looo!mpaka sasa nang'aa sharubu
pole mwalimu
 
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
Kwakweli mungu akusaidie usimvulie maana kuna kila dalili ya chupi kuvuka.
 
Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Duh! Pole sana utapata aliye single wacha time iongee
 
Kuhusu coz hapo tuko pa1,nmesoma mechanical engineer,kla interview nafeli,nkibahatka,kupata kaz n kwa wahindi kiwandan,sna ham na wahindi,cjui niende gereji tu,nkalipwe 1oooo
Hahahahahahahahaha kama mm ila sikusoma coz hiyo ila mengine tupo sawa.Pambana mkuu nje kugumu zaidi mi niliamua kuacha ila msoto ninaoupata sasa iv Mungu ndio anajua so kupitia ushuhuda wangu usiache kazi until umepata kwingine.
 
Back
Top Bottom