JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu
Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu
Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata ikiwa amestaafu au kuacha kazi kwenye Utumishi wa Umma
Upvote
1