J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jun 4, 2021 #1 Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata ikiwa amestaafu au kuacha kazi kwenye Utumishi wa Umma Upvote 1
Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata ikiwa amestaafu au kuacha kazi kwenye Utumishi wa Umma
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,618 Reaction score 3,294 Jun 4, 2021 #2 Mtumishi wa Umma ni Nani/yupi...! Tuanzie hapo ili twende sawa.