Ni kosa kubwa wakenya kutompa urais Raila Odinga

Tanzania utajiri upo ila wa kuliwa na Wachina hao mnawaita ndugu.
Madini mnayo lakini maskini wa kutupwa, leo mnaomba tumchague Raila eti ndio mruhusu tuje kuchuma hayo madini.
Mjiboreshe kiuchumi kwanza
 
Mkuu achana na huyu, humu Jamiiforums tunajuana wenye akili timamu na walio vichaa kama huyo tunawajua pia
 
NDIO MAANA WATU WAZIMA TUNAWASHAURI SANA WATOTO KUBAKI FACEBOOK KWANZA ILI WAJIFUNZE VITU VYA KUPOST
 
Wazimu na ujinga wa hali ya juu hapa.Hatu wezi kuharibu nchi yetu kumpatia uongozi jamaa asiyefaa kuwa rais ati ndio tupate manufaa Tz hiyo ni kama kutupa shilingi elfu moja ili upate shilingi mia mbili.
 
Arrogance at its prime, Kenyans are the poorest people in the region. Numbers don't lie
 
Arrogance at its prime, Kenyans are the poorest people in the region. Numbers don't lie
You are Right the biggest poorest slum in the world is in kibera in Nairobi not in Tanzania or other countries in Africa
 
Mleta Uzi YEHODAYA , naona unabisha hodi kwa mkemia wa mkojo kwa nguvu.

Ukikaribishwa ukatakiwa kufungua zipu na kikopo mikononi usilaumu watu.

Any way, nimewaza kwa sauti .
 
Endeleeni kujipa moyo watz, eti Kenya poorest? Mbona ni kama mnajitekenya lakini hata hamcheki?
 
Endeleeni kujipa moyo watz, eti Kenya poorest? Mbona ni kama mnajitekenya lakini hata hamcheki?
Wewe matajiri Kenya ni wazungu wahindi Na wanasiasa Na familia zao Tanzania tuna matajiri waswahili akina Reginald mengi,bakhresa, Zakaria,mfuruki nk ambao hawaangukii kwenye hayo makundi ya wazungu,wahindi,Na wanasiasa kama Kenya. Kenya ardhi wamiliii wakuu ni hayo makundi Tanzania hata Muuza karanga au asiye Na kazi ana uwezo wa kumiliki kipande cha ardhi.tofauti Na Kenya ambako MTU kwenye digrii hana hata kiwanja Na hawezi pata kama hana kazi ataishia kuishi slums za kibera Na mathare Nairobi Na digrii zake
 
Mkuu mambo ya wakenya wanamtaka nani awaongoze ni bora tukawaachia wao!
 
Ulianza vizuri lakini umepotoka ulipoongelea habari za wachina!

Yaani kwa akili zako hujui nchi gani imelizwa na wachina kati ya Kenya na tz? Acha kujitia aibu ndg yangu!
 
Reactions: Oii
Kuweka sawa kumbukumbu ni kuwa, raia wa nchi za nje kulipwa mshahara mkubwa kuliko watanzania ni kwa sababu ya makato.

Raia wa nje ana makato makubwa kuliko mtanzania, hivyo ni muhimu mshahara wake uwe juu kidogo ili baada ya kuondoa makato abaki na hela ya maana.
 
Ulianza vizuri lakini umepotoka ulipoongelea habari za wachina!

Yaani kwa akili zako hujui nchi gani imelizwa na wachina kati ya Kenya na tz? Acha kujitia aibu ndg yangu!

Hatuna madini ya kuliwa na Wachina, wameitafuna nchi yenu hadi imebaki mahandaki. Huwa mnawaita eti ndugu zenu na kuwavisha kofia za vyama.

Mtoa mada sijui kala chpis yai viza iliyokaangwa na mchanganyo wa viazi vilivyooza kenyata kapenya hacha kuhenya,
 
Hatuna madini ya kuliwa na Wachina, wameitafuna nchi yenu hadi imebaki mahandaki. Huwa mnawaita eti ndugu zenu na kuwavisha kofia za vyama.

Mkuu inatosha mana unayoongea yote ni point nchi imejaa maandaki kila upande.
 
JF kweli imekosa great thinkers...sasa wakenya waje Tanzania kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…