This is another marvel happening in Kenya. A refuelling station becomes a residential place. Only Kenyan guards are supposed to be at that station.
Lakini jinsi mlivoibiwa na wachina mnaishia kuchekelea eti ni sehemu ya kujazia mafuta wao ndo wanalala hapo?
BTW, kazi ya kujaza mafuta kwenye sgr ni ya nani? dreva au mchina? Na mafuta hayo ni mali ya nani?, ya kenya au ya wachina? Nahisi wakenya ndo wanafuata hiyo oil na kuja kuwauzia tena!
Mpaka hayo mabango yabadilike maandishi kutoka kichina kuwa lugha yenu mtakuwa mmekoma