Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.
Samia aliingia kwa mbwembwe na vigelegele pamoja na kundi lake kuonesha utawala wa Hayati Magufuli ulikuwa mmbovu, miaka 2.5 tu Samia has proven failures kwenye strategies za kustabilize uchumi, pumzi imeshakata na ameingia kwenye complicate life za kupiga na kuondoka.
1. Samia alikuta Petrol kwa lita ni 1880 , kwa sasa Lita moja ni 3300 na trends inaonesha itapiga hadi 4000 by December 2024
2. Samia alikuta dollar ni sawa na 2100 to 2200, kwa sasa dola moja ni 2800 for purchasing , na availability yake ni ngumu sana. Kama hujatumia njia za panya basi hupati, risk ya kuuziwa dola fake ni more than 50% kwenye njia za panya.
3. Samia anakopa kuliko utawala wowote kuwahi kutokea, Kama fedha hizo zingekuwa na usimamizi sahihi na matumizi sahihi basi tayari tungekuwa ni South ya pili ; chini ya Samia TRA inavuka target ya makusanyo, chini ya Samia mikopo ni mingi na chini ya Samia Miradi yote imestuck. Barabara ya Mbagala, Airport na magomeni kote zilianza two years ago , just few kilometers, mpaka sasa ni blah bhah huku nchi inaingia kwenye madeni makubwa . SGR ndio another scam under Samia leadership, mmesikia tumekopa Exim ya china for the project, and verily , that is not going to work.
4. Vyeti fake na watumishi hewa pamoja na mishahara hewa ni another scandal under samia leadership, badala ya kupungua, hawajamaa wamerudi than ever before.
5. Under Samia, Resources za nchi zinapewa wageni bila ya kujali masilahi mapana ya Taifa, tuna appreciate uwekezaji lakini uwekezaji unapaswa kuwa ni kwa maslahi mapana ya raia na sio maslahi binafsi; kama uwekezaji upo clear, hatuhitaji promo na ushawishi, ukiona promo ujue huo ni WIZI mwingine, and for sure mikataba yote aliyosaini Samia akija Rais Mzalendo, ataivunja mikataba yote hata kwa kuvunja Sheria, and that is another loss for the country. Tutakwenda mbele na kurudi nyuma, kuna haja ya kushitaki hawa marais kwa kutia taifa hasara.
6 . Ishu ya Umeme bado ni tatizo, under Samia umeme umekuwa ni wa ma Shaka na anytime unakatika. Japo tunaambiwa umeme upo wa kutosha, kama umeme ni wa kutosha why ukatike mara kwa mara. All of sudden shida ya umeme ni baada ya Samia kupewa nchi
7. Under Samia, gharama za vyakula vipo juu kuliko miaka yoyote. Kwa mfano Kilo ya Sukari alikuta 1600, kwa sasa Kilo ya Sukari ni 3500 hadi 4500 na bado upatikanaji wake ni hafifu. Aidha, huduma za Afya zimedorota. NHIF imekosa tija kwenye taifa.
CCM mpo huru kumsimamisha Mama yenu 2025, lakini muelewe kwa miaka 2 tumefika hapa, for the next 5 years tunakwenda kuwa Zimbabwe ya Mugabe ni suala la muda na Mama hana sera wala vision , anachofanya yeye ni Obvious hata ukimuweka layperson can do what she does . kama mnaamini tunaponda tu au tunaandika kwa chuki, ni suala la muda, mtakula sasa hivi lakini generation yenu itakuwa kwenye shida kama watanzania wengine. Uzuri na nyie mpo kwenye nyumba inayoharibiwa siku hadi siku.
Wapinzani kazi kwenu, ni kipindi kizuri cha kuitikisa CCM na kuunda Serikali ya Mseto pamoja na kuitoa madarakani.