Ni kosa la Jamii kuwaachaa GEN Z bila muongozo!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Jamii yetu ya watanzania inapaswa kuwajibika na kuomba radhi..kwani tuliwaacha watoto na vijana wetu kwa muda wa takribani miongo mitatu hivi bila kuwapa muelekeo.

Hatimaye adui akaja na kuwapa upuuzi na leo hii tunaona matokeo yake.

Mtusamehe the so called GEN Z sisi baba zenuhatukuwapa "initiation" zinazotakiwa ila tumejifunza sana.tuliwaacha na hatkuwalea...sasa ni muda wa kuwalea ila itabidi kutumia nguvu sana kuwalea.
 
Can you clarify more
Wazungu walitupotosha sisi wazazi wenu na kutuambia kuwa jando na unyago ni ushamba na ni kinyume na haki za binadamu..sisi tukawakubalia kumbe walikuwa wanatuingiza kingi..tukaacha yale walioturithisha babu zetu tukaiga ya wazungu....hee kumbe ni upuuzi mtupu!
leo hii ndio mmekua na ya hawa walami mmeanza kuharibu nchi...ndio sasa tunakumbuka kuwa tuli-miss a step...
yaani na mimi nimeanza kuchoka kama mwandambo babu yenu !!
 
Asante sana kwa ufafanuzi

Ngoja niwaite gen z
Cc: Rayns@seran@secretarybird

Wakongwe Herbalist Dr MziziMkavu Mshana Jr je hii mada iko sahihi?
 
Jamii yetu ya watanzania inapaswa kuwajibika na kuomba radhi..kwani tuliwaacha watoto na vijana wetu kwa muda wa takribani miongo mitatu hivi bila kuwapa muelekeo.

Hatimaye adui akaja na kuwapa upuuzi na leo hii tunaona matokeo yake.

Mtusamehe the so called GEN Z sisi baba zenuhatukuwapa "initiation" zinazotakiwa ila tumejifunza sana.tuliwaacha na hatkuwalea...sasa ni muda wa kuwalea ila itabidi kutumia nguvu sana kuwalea.
Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom