Ni kozi gani unatamani iongezwe vyuoni kwenye ngazi ya Bachelor's Degree?

Ni kozi gani unatamani iongezwe vyuoni kwenye ngazi ya Bachelor's Degree?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu salama?

Labda nianze na mimi

Mimi ningependa kuwepo kwa Kozi ya Usimamizi wa Maudhui na Haki Miliki za Mtandaoni (Content Monetization & Creative Rights)

Bongo waundaji maudhui (Creators) ni wengi mno, lakini wengi hawajui sheria za mikataba, jinsi ya kupata hela kupitia hatimiliki zao, wala kulinda kazi zao zisiiwe na watu wengine

Lakini pia kwenye hiyo kozi, itafundisha content creators na waandishi cha kufanya ili waweze kupata hela kupitia Spotify, Youtube, Facebook na mitandao mingine mingine

Nyie mngenpenda kuona kozi gani mpya?
 
Back
Top Bottom