Ni Kozi ipi ya Computer ina soko kwa sasa?

China kwa sasa wamehamia kwenye AI-IOT Artificial intelligence in internet of things. Asome vyote au kimojawapo kati ya hivyo. Ikiwezekana kama ana matokeo mazuri atafute scholarship program akasome mbele kozi hizo.
 
Akasome Financial Engineering hapo Kenya. Fees haizidi 3 million kwa mwaka wa masomo (Hii ni kwa public university). Akimaliza kazi atapata faster sana
 
Information system management
 
Soko liko pale kariakoo...mtaa wa uhuru kutengeneza simu
 
Ni kozi nzuri! ila inahitaji utundu wa ziada plus muongozo kutoka kwa walimu vyuoni. Naweza kusema same To computer science ila huku unajikita zaidi katika kutengeneza mifumo ya kuhifadhi taarifa kidigitali #Coding....

Apart na kutengeneza mifumo Unaweza kuwa mtaalamu wa Mambo mengi Kama vile
1.system adminstrator
2.programmer
3.system analyst etc....

Ni kozi nzuri kikubwaa choose your area of interest
karbu Ardhi University
 
Uzi mzuri. Ahsante kwa wote mliotoa mawazo yenu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…