Ni Kozi ipi ya Computer ina soko kwa sasa?

Ni Kozi ipi ya Computer ina soko kwa sasa?

China kwa sasa wamehamia kwenye AI-IOT Artificial intelligence in internet of things. Asome vyote au kimojawapo kati ya hivyo. Ikiwezekana kama ana matokeo mazuri atafute scholarship program akasome mbele kozi hizo.
 
Akasome Financial Engineering hapo Kenya. Fees haizidi 3 million kwa mwaka wa masomo (Hii ni kwa public university). Akimaliza kazi atapata faster sana
 
Wadau naomba kujuzwa kuhusu hiyo mada hapo juu.

Mimi sio mtaalam wa computer. Nipo field tofauti.

Dogo yupo advance anataka kujikita katika ishu za computer huko mbeleni at the university level.

Yupo vizuri upstairs ana akili nyingi sana.

Leo ameniuliza hilo swali nimebaki sina jibu la haraka haraka.
Information system management
 
Soko liko pale kariakoo...mtaa wa uhuru kutengeneza simu
 
Ni kozi nzuri! ila inahitaji utundu wa ziada plus muongozo kutoka kwa walimu vyuoni. Naweza kusema same To computer science ila huku unajikita zaidi katika kutengeneza mifumo ya kuhifadhi taarifa kidigitali #Coding....

Apart na kutengeneza mifumo Unaweza kuwa mtaalamu wa Mambo mengi Kama vile
1.system adminstrator
2.programmer
3.system analyst etc....

Ni kozi nzuri kikubwaa choose your area of interest
karbu Ardhi University
 
Uzi mzuri. Ahsante kwa wote mliotoa mawazo yenu hapa
 
Back
Top Bottom